Esacs ni kati ya shule za kimataifa zilikozo Tanzania jijini Dar es Salaam wametoa toleo maalumu kwa madhumuni ya kutambua juhudi za yatima wanaohangaika kutimiza ndoto zao na wito kwa kila mwana jamii kuwasaidia. Artwork done by: Sagatti Graphic Limited
Mwinjilisti Mukangara ni Mjumbe wa Mungu atoaye Mafundisho ya Mungu aliye hai kwa njia ya Kuhubiri kwenye mikutano ya hadhara, makanisani pia kwa njia ya Radio. Mafundisho hayo sasa unaweza ukayapata yakiwa yamenakilishwa kwenye Tape au CD piga simu no. 0784 314629. Pia unaweza ukamsikiliza kila siku ya Ijumaa kwenye kipindi cha radio (LIVE) saa 1:00 usiku kwenye FM 105.3 Morning Star Radio. Artwork done by Sagatti Graphic Limited
Gladys Minja ni Solo Artist wa nyimbo za Injili, Kwa sasa ameshatoa Album ya kwanza ijulikanayo kwa jina la TEGEMEA YESU. Artwork Done by Sagatti Graphic Limited
Jhikoman ni Mwanamuziki kutoka katika kizazi kipya cha Reggae inayokwenda kwa jina la Africarribean Beat. Ameshatoa Album kadhaa kama vile Africaribean Beat, Safari, Wakulima Tutambuliwe, Hali Halisi, Kweli na Chikondi. Artwork done by: Sagatti Graphic Limited